-
“Babuloni Mkubwa Ameanguka!”Ufunuo—Upeo Wao Mtukufu U Karibu!
-
-
Na malaika mwingine [wa nne] akaibuka katika patakatifu pa hekalu, akilia kwa sauti kubwa kwa mmoja anayeketi juu ya wingu: ‘Tia ndani mundu wako na kuvuna, kwa sababu saa imewadia ili kuvuna, kwa kuwa vuno la dunia limeiva kabisa.’
-
-
“Babuloni Mkubwa Ameanguka!”Ufunuo—Upeo Wao Mtukufu U Karibu!
-
-
23. (a) Neno la kuanza kuvuna hutoka kwa nani? (b) Ni kuvuna gani ambako kumetukia tangu 1919 hadi sasa?
23 Ijapokuwa yeye ni Mfalme na Jaji, Yesu anangojea neno kutoka kwa Yehova Mungu wake kabla ya kuanza kuvuna. Neno hilo linakuja kutoka “patakatifu pa hekalu” kupitia malaika.
-