-
Kasirani ya Mungu Yaletwa Kwenye TamatiUfunuo—Upeo Wao Mtukufu U Karibu!
-
-
34. Malaika wa saba humimina bakuli lake juu ya nini, na ni mbiu gani ‘hutoka katika patakatifu na katika kiti cha ufalme’?
34 “Na wa saba akamimina bakuli lake juu ya hewa. Ndipo sauti kubwa ikatoka katika patakatifu kutoka kiti cha ufalme, kusema: ‘Imetukia!’”—Ufunuo 16:17, NW.
-
-
Kasirani ya Mungu Yaletwa Kwenye TamatiUfunuo—Upeo Wao Mtukufu U Karibu!
-
-
36. (a) Tauni saba huwa nini? (b) Ni nini linalodokezwa na mbiu ya Yehova: “Imetukia!”?
36 Tauni hii na zile sita zilizotangulia hutoa jumla ya hukumu za Yehova dhidi ya Shetani na mfumo wake. Hizo ni ujulisho-wazi wa angamio la Shetani na mbegu yake. Wakati bakuli hili la mwisho kabisa linapomiminwa, Yehova mwenyewe hupiga mbiu hivi: “Imetukia!” Hakuna jambo zaidi la kusema. Wakati yaliyomo ndani ya mabakuli ya kasirani ya Mungu yamekwisha kutangazwa peupe kwa kutosheka kwa Yehova, hakutakuwa na ukawio katika kutekeleza kwake hukumu zinazopigiwa mbiu na jumbe hizi.
-