-
Uzuri Mwingi Mno wa Kiti cha Ufalme cha Yehova cha KimbinguUfunuo—Upeo Wao Mtukufu U Karibu!
-
-
Yeye aandika hivi: “Baada ya vitu hivi mimi nikaona, na, tazama! mlango uliofunguliwa katika mbingu, na sauti ya kwanza ambayo mimi nilisikia ilikuwa kama ya tarumbeta, ikinena na mimi, ikisema: ‘Njoo juu huku, na mimi nitaonyesha wewe vitu ambavyo ni lazima vitukie.’” (Ufunuo 4:1, NW)
-
-
Uzuri Mwingi Mno wa Kiti cha Ufalme cha Yehova cha KimbinguUfunuo—Upeo Wao Mtukufu U Karibu!
-
-
3. Ile sauti “kama ya tarumbeta” inarudisha nini akilini, na bila shaka ni nani aliye Chanzo chayo?
3 Biblia haitambulishi hii “sauti ya kwanza.” Kama ile sauti ya Yesu yenye nguvu iliyosikiwa mapema zaidi, ina mlio wenye kuamrisha kama tarumbeta. (Ufunuo 1:10, 11) Inakumbusha ule mlio wa pembe wenye kupenya ambao uliashiria kuwapo kwa Yehova kwenye Mlima Sinai. (Kutoka 19:18-20) Bila shaka, Yehova ndiye Chanzo adhimu cha mialiko hiyo. (Ufunuo 1:1)
-