Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • Yohana Aona Yesu Aliyetukuzwa
    Ufunuo—Upeo Wao Mtukufu U Karibu!
    • Yeye atapokea mfululizo wa jumbe na kutangaza vitu atakavyoona na kusikia. Angalia kwamba yale makundi yanayotajwa hapa yalikuwako kikweli katika siku ya Yohana. Yote yalikuwa katika Esia Ndogo, ng’ambo tu ya bahari kutoka Patmosi. Yalikuwa yenye kuwasilikana kwa urahisi yenyewe kwa yenyewe kwa njia ya barabara bora zaidi za Kiroma zilizokuwako katika eneo hilo. Mjumbe hangalipata shida ya kupeleka hati-kunjo kutoka kundi moja kwenda lifuatalo.

  • Yohana Aona Yesu Aliyetukuzwa
    Ufunuo—Upeo Wao Mtukufu U Karibu!
    • b Katika karne ya kwanza, kundi lilipopokea barua kutoka kwa mtume, ilikuwa desturi kuzungusha barua hiyo kwa makundi mengine ili yote yaweze kunufaika na shauri.—Linga Wakolosai 4:16.

Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
Toka
Ingia
  • Kiswahili
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki