Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • Je! Jina Lako Limo Katika Kitabu cha Uhai?
    Ufunuo—Upeo Wao Mtukufu U Karibu!
    • 3. (a) Ni kwa nini imempasa “malaika wa kundi katika Sardisi” aangalie kwa njia maalumu uhakika wa kwamba Yesu ana “nyota saba”? (b) Ni shauri gani kali ambalo Yesu analipa kundi katika Sardisi?

      3 Yesu anamkumbusha pia “malaika wa kundi katika Sardisi,” kwamba Yeye ndiye ambaye ana “nyota saba.” Yeye anashika hao wazee wa kundi katika mkono wake wa kulia, akiwa na mamlaka kuwaelekeza katika kazi yao ya kuchunga. Inawapasa wao kuweka mioyo yao katika ‘kujua hakika mwonekano wa kundi.’ (Mithali 27:23, NW)

  • Je! Jina Lako Limo Katika Kitabu cha Uhai?
    Ufunuo—Upeo Wao Mtukufu U Karibu!
    • “Na kwa malaika wa kundi katika Sardisi andika: Hivi ndivyo vitu ambavyo husema yeye ambaye ana roho saba za Mungu na nyota saba,

Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
Toka
Ingia
  • Kiswahili
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki