Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • Uadilifu Wachipuka Katika Sayuni
    Unabii wa Isaya II—Nuru kwa Wanadamu Wote
    • amenizungushia joho la uadilifu,

  • Uadilifu Wachipuka Katika Sayuni
    Unabii wa Isaya II—Nuru kwa Wanadamu Wote
    • 26 Wakiwa wamevaa “joho la uadilifu,” Wakristo watiwa-mafuta wamepiga moyo konde kubaki wakiwa wenye utakato na usafi machoni pa Yehova. (2 Wakorintho 11:1, 2) Wakiisha kutangazwa na Yehova kuwa waadilifu kwa kusudi la kurithi uhai wa kimbingu, hawatayarudia kamwe makao yenye ukiwa ya Babiloni Mkubwa, ambaye wamekombolewa kutoka kwake. (Waroma 5:9; 8:30)

Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
Toka
Ingia
  • Kiswahili
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki