-
Ufunuo na WeweUfunuo—Upeo Wao Mtukufu U Karibu!
-
-
Wenye furaha ni wale ambao hufua majoho yao ili mamlaka ya kwenda kwenye miti ya uhai imkini kuwa yao na kwamba wao wamkini kupata mwingilio ndani ya jiji kupitia malango yalo.
-
-
Ufunuo na WeweUfunuo—Upeo Wao Mtukufu U Karibu!
-
-
8. (a) Ni nani pekee ‘wanaokwenda kwenye miti ya uhai,’ na hili humaanisha nini? (b) Umati mkubwa ‘umefuaje majoho yao,’ na wanadumishaje msimamo safi?
8 Ni wale Wakristo wapakwa-mafuta pekee ambao “hufua majoho yao” kikweli ili wawe safi machoni pa Yehova ndio wanaopendelewa “kwenda kwenye miti ya uhai.” Yaani, wanapokea haki na cheti cha kuwa na uhai usioweza kufa katika cheo chao cha kimbingu. (Linga Mwanzo 3:22-24; Ufunuo 2:7; 3:4, 5.)
-