Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • Rumania
    2006 Kitabu cha Mwaka cha Mashahidi wa Yehova
    • Wakati huohuo, wengi waliongeza utumishi wao na baadhi yao kama vile Mihai Nistor na Vasile Sabadâş wakawa mapainia.

      Mihai alitumwa kaskazini-magharibi na katikati ya Transylvania, naye aliendelea kuwa painia hata baada ya marufuku ya Wakomunisti kuondolewa. Alisakwa na maadui kwa miaka mingi wakati wa marufuku. Aliepukaje kukamatwa? Anasema: “Nilitengeneza mfuko uliofanana na ile iliyotumiwa na watu waliouza madirisha. Nilizunguka katikati ya vijiji na miji katika maeneo niliyohubiri nikiwa nimevaa mavazi ya kazi na kubeba viunzi vya madirisha na vyombo vya kazi. Kila nilipomwona polisi au mtu niliyemshuku, nilitangaza madirisha yangu kwa sauti kubwa. Ndugu wengine walitumia mbinu tofauti ili wawaepuke wapinzani. Kazi hiyo ilikuwa yenye kusisimua, lakini ilikuwa hatari kwetu na kwa watu waliotukaribisha tukae nyumbani kwao. Hata hivyo, tulifurahi sana kuwaona wanafunzi wa Biblia wakifanya maendeleo na idadi ya wahubiri ikiongezeka.”

  • Rumania
    2006 Kitabu cha Mwaka cha Mashahidi wa Yehova
    • [Picha katika ukurasa wa 111]

      Mihai Nistor

Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
Toka
Ingia
  • Kiswahili
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki