Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • Rumania
    2006 Kitabu cha Mwaka cha Mashahidi wa Yehova
    • Kwa mfano, mnamo Mei 1949, Martin Magyarosi alituma ujumbe ulioandikwa na Petre Ranca, mfanyakazi mwenzake katika ofisi ya Bucharest. Alisema: “Watu wote wa familia ni wazima. Kulikuwa na upepo na baridi kali, nasi hatukuweza kufanya kazi shambani.” Baadaye ndugu mwingine aliandika kwamba “jamaa haiwezi kupata vyakula vitamu” na kwamba “wengi ni wagonjwa.” Alimaanisha kwamba haikuwezekana kuingiza chakula cha kiroho nchini Rumania, na ndugu wengi walikuwa wamefungwa.

  • Rumania
    2006 Kitabu cha Mwaka cha Mashahidi wa Yehova
    • Pamfil na Elena Albu, Petre Ranca, Martin Magyarosi, na wengine wengi walikamatwa mapema mwaka wa 1950 na kushtakiwa kwa uwongo kuwa wapelelezi wa Marekani na nchi za Ulaya zisizo za Kikomunisti. Baadhi yao walitendwa kikatili ili wafunue mambo ya siri na wakiri kwamba wao ni “wapelelezi.” Hata hivyo, hawakukiri chochote ila kwamba wanamwabudu Yehova na kufanya kazi ya Ufalme wake. Baada ya kutendwa kwa jeuri, baadhi ya ndugu walifungwa gerezani, na wengine wakapelekwa kwenye kambi za kazi ngumu.

Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
Toka
Ingia
  • Kiswahili
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki