Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • Rumania
    2006 Kitabu cha Mwaka cha Mashahidi wa Yehova
    • Jumba la kwanza la Kusanyiko nchini Rumania lililojengwa mjini Negreşti-Oaş, lina jumba kuu linalotoshea watu 2,000, na uwanja unaowatoshea watu 6,000. Ndugu Lösch alifurahi sana alipoalikwa kutoa hotuba ya kuweka wakfu jumba hilo na akaitoa katika Kirumania. Ndugu kutoka zaidi ya makutaniko 90 katika mizunguko mitano, walikuwa wamesaidia kujenga. Hata kabla jumba hilo halijawekwa wakfu, kusanyiko la wilaya lilifanywa humo mnamo Julai 2003, na watu 8,572 wakahudhuria. Jumba hilo la Kusanyiko lilizungumziwa sana na wafuasi wa Kanisa Othodoksi. Lakini si wote waliolichambua. Baadhi ya makasisi hata waliwapongeza ndugu kwa roho yao ya kujitolea.

  • Rumania
    2006 Kitabu cha Mwaka cha Mashahidi wa Yehova
    • (3) Jumba la Kusanyiko, Negreşti-Oaş

Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
Toka
Ingia
  • Kiswahili
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki