Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • Rumania
    2006 Kitabu cha Mwaka cha Mashahidi wa Yehova
    • [Picha katika ukurasa wa 102]

      Kusanyiko la mzunguko huko Baia-Mare mwaka wa 1945

  • Rumania
    2006 Kitabu cha Mwaka cha Mashahidi wa Yehova
    • Ndugu walifanya makusanyiko mengi huko Baia-Mare, Cluj-Napoca, Tirgu-Mures, na Ocna Mureş, na mamia ya Mashahidi na watu waliopendezwa wakahudhuria. Ubatizo ndilo jambo lililovutia hasa kwenye kusanyiko lililofanywa Baia-Mare, mnamo Juni 1945, nao ulifanywa kwenye mto uliokuwa umbali wa kilometa kumi kutoka mji huo. Baada ya hotuba kutolewa katika bustani ya ndugu fulani, watu 118 walibatizwa katika Mto Lăpuşul, karibu na bustani hiyo. Ubatizo huo katika mazingira hayo mazuri ulikuwa wa pekee sana.

Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
Toka
Ingia
  • Kiswahili
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki