-
Rumania2006 Kitabu cha Mwaka cha Mashahidi wa Yehova
-
-
Ndugu walifanya makusanyiko yao ya kwanza mwaka wa 1920. Moja lilifanywa huko Brebi, Mkoa wa Sălaj, na lingine mjini Ocna Dejului, Mkoa wa Cluj. Wahudhuriaji waliweza kusafiri kwa gari-moshi na ndugu na watu waliopendezwa ambao waliishi katika miji hiyo wakawakaribisha kulala nyumbani kwao. Watu 500 hivi kutoka sehemu zote za Rumania walihudhuria, na wakatoa ushahidi mzuri kwa mwenendo wao bora.
-
-
Rumania2006 Kitabu cha Mwaka cha Mashahidi wa Yehova
-
-
1990: Mashahidi wa Yehova waandikishwa kisheria. Makusanyiko yafanywa.
-