-
Rumania2006 Kitabu cha Mwaka cha Mashahidi wa Yehova
-
-
Pamfil na Elena Albu, ambao pia walikuwa wamefanya kazi kwenye ofisi huko Bucharest, wakahamia Baia-Mare, sehemu ya kaskazini. Walipokuwa katika miji hiyo miwili, Ndugu Magyarosi na Albu walipanga upya kazi ya kuhubiri na ya kuchapa Mnara wa Mlinzi kisiri.
-
-
Rumania2006 Kitabu cha Mwaka cha Mashahidi wa Yehova
-
-
Ndugu na Dada Albu walikamatwa pia, pamoja na ndugu na dada wengine 1,000 hivi.
-
-
Rumania2006 Kitabu cha Mwaka cha Mashahidi wa Yehova
-
-
[Picha katika ukurasa wa 95]
Martin na Maria Magyarosi (mbele) na Elena na Pamfil Albu
-