Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • Rwanda
    2012 Kitabu cha Mwaka cha Mashahidi wa Yehova
    • Baada ya hapo, André Twahirwa, mmoja wa ndugu waliokuwa wakitufuata na ambaye alikuwa amebatizwa juma lililotangulia, akatupeleka kwake nyumbani licha ya kukatazwa na majirani. Siku iliyofuata, akaandamana nasi hadi Kigali, ambapo alinuia kututafutia mahali salama pa kukaa. Alitusaidia kupita vizuizi kadhaa vya barabarani vilivyokuwa hatari sana. Immaculée alibeba mtoto wangu ili tukikamatwa, aweze kumwokoa. Mimi na Suzanne tulipasua vitambulisho vyetu ili tusigunduliwe.

      “Katika kizuizi kimoja, Interahamwe walimgonga Immaculée na kusema, ‘Mbona unasafiri na Watutsi hawa?’ Mimi na Suzanne tulizuiwa tusipite. Hivyo Immaculée na André walitangulia hadi nyumbani kwa Ndugu Rwakabubu. André na ndugu wengine wawili, Simon na Mathias, walihatarisha uhai wao sana ili kutusaidia kupita kizuizi hicho cha mwisho na kunipeleka kwa Ndugu Rwakabubu, naye Suzanne akaenda kwa mmoja wa watu wake wa ukoo.

  • Rwanda
    2012 Kitabu cha Mwaka cha Mashahidi wa Yehova
    • [Picha katika ukurasa wa 214]

      Kuanzia kushoto kuelekea kulia: (nyuma) André Twahirwa, Jean de Dieu, Immaculée, Chantal (na mtoto), Suzanne; (mbele) watoto wa Mugabo: Jean-Luc na Agapé

Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
Toka
Ingia
  • Kiswahili
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki