-
Kuponda Kichwa cha NyokaUfunuo—Upeo Wao Mtukufu U Karibu!
-
-
na yeye ataenda nje kuongoza vibaya yale mataifa katika kona nne za dunia, Gogu na Magogu, kukusanya hayo pamoja kwenye vita. Hesabu ya hawa ni kama mchanga wa bahari.
-
-
Kuponda Kichwa cha NyokaUfunuo—Upeo Wao Mtukufu U Karibu!
-
-
23. Ni nini kinachoonyeshwa na uhakika wa kwamba hesabu ya waasi ni “kama mchanga wa bahari”?
23 Hesabu ya wale wanaojiunga na Shetani katika uasi wake itakuwa “kama mchanga wa bahari.” Huo ni wingi gani? Hakuna hesabu iliyotangulia kuwekwa rasmi. (Linga Yoshua 11:4; Waamuzi 7:12.) Hesabu ya mwisho yenye jumla ya waasi itategemea jinsi kila mtu mmoja mmoja atakavyotenda kwa kuitikia hila za ujanja za Shetani. Ingawa hivyo, pasi na shaka, watakuwa hesabu kubwa, kwa kuwa watahisi ni wenye nguvu vya kutosha kushinda “kambi ya watakatifu na jiji lenye kupendwa.”
-