-
Je, Elimu ya Vitu vya Kale Inaunga Mkono Biblia?Amkeni!—2007 | Novemba
-
-
Maandishi Yenye Majina ya Biblia
Kuna wakati ambapo wasomi maarufu walifikiri kwamba Mfalme Sargoni wa Pili wa Ashuru, ambaye jina lake linapatikana katika Biblia kwenye Isaya 20:1, hakuwahi kuishi. Hata hivyo, mnamo 1843 karibu na mji wa leo wa Khorsabad, Iraki, kwenye kijito cha Mto Tigri, jumba la Mfalme Sargoni [3] liligunduliwa. Lilijengwa katika eneo lenye ukubwa wa ekari 25. Sasa, Sargoni wa Pili ni kati ya wafalme wa Ashuru wanaojulikana zaidi. Katika maandishi [4] yake, anadai kwamba aliteka jiji la Samaria. Kulingana na Biblia, Waashuru walilishinda jiji la Samaria mnamo 740 K.W.K. Sargoni pia alirekodi kwamba alishinda Ashdodi, na hivyo kuunga mkono Isaya 20:1.
-
-
Je, Elimu ya Vitu vya Kale Inaunga Mkono Biblia?Amkeni!—2007 | Novemba
-
-
3: Musée du Louvre, Paris; 4: Photograph taken by courtesy of the British Museum;
-