Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • Je, Uhai Wote Umetokana na Chanzo Kimoja?
    Maswali Matano Muhimu Kuhusu Chanzo cha Uhai
    • Kuhusiana na wakati unaotenganisha visukuku hivyo, mwanazuolojia Henry Gee anasema: “Muda unaotenganisha visukuku ni mrefu sana hivi kwamba hatuwezi kusema kwa uhakika ikiwa vinahusiana kupitia nasaba na ukoo.”34c

  • Je, Uhai Wote Umetokana na Chanzo Kimoja?
    Maswali Matano Muhimu Kuhusu Chanzo cha Uhai
    • c Henry Gee hadokezi kwamba nadharia ya mageuzi si ya kweli. Maelezo yake yamekusudiwa kuonyesha kwamba watu hawawezi kujifunza mengi kutokana na visukuku.

  • Je, Uhai Wote Umetokana na Chanzo Kimoja?
    Maswali Matano Muhimu Kuhusu Chanzo cha Uhai
    • [Blabu katika ukurasa wa 25]

      “Kuchukua visukuku kadhaa na kudai kwamba vinawakilisha nasaba fulani si maoni ya sayansi yanayoweza kuthibitishwa, balini dai linaloweza kulinganishwa na hadithi zinazosimuliwa kabla ya kulala—zinazosisimua, huenda hata zenye mafunzo, lakini zisizo za kisayansi.”—In Search of Deep Time—Beyond the Fossil Record to a New History of Life, cha Henry Gee, uku. 116-117

Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
Toka
Ingia
  • Kiswahili
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki