-
Je, Uhai Wote Umetokana na Chanzo Kimoja?Maswali Matano Muhimu Kuhusu Chanzo cha Uhai
-
-
Utafiti wa karibuni unaendelea kupinga nadharia ya Darwin ya kuwapo kwa chanzo kimoja cha uhai. Kwa mfano, mwaka wa 2009, makala katika gazeti New Scientist ilimnukuu mwanasayansi wa mageuzi Eric Bapteste akisema: “Hatuna uthibitisho wowote kuonyesha kwamba mti wa uhai ni hakika.”30
-
-
Je, Uhai Wote Umetokana na Chanzo Kimoja?Maswali Matano Muhimu Kuhusu Chanzo cha Uhai
-
-
b Kumbuka kwamba wala makala ya gazeti la New Scientist, wala maoni ya Bapteste, wala ya Rose, hayadokezi kwamba nadharia ya mageuzi si ya kweli. Badala yake, wanachosema ni kwamba ule mti wa uhai wa Darwin ambao ndiyo msingi wa nadharia yake, haungwi mkono na uthibitisho. Wanasayansi kama hao bado wanatafuta njia nyingine ya kufafanua nadharia ya mageuzi.
-