-
Baruku Mwandishi Mwaminifu wa YeremiaMnara wa Mlinzi—2006 | Agosti 15
-
-
Katika miaka ya karibuni, mihuri miwili ya udongo wa mfinyanzia ya karne ya saba K.W.K. imegunduliwa. Mihuri hiyo ina maandishi “Ya Berekhyahu” [jina la Kiebrania la Baruku], mwana wa Neriyahu [jina la Kiebrania la Neria], Mwandishi.” Ugunduzi wa mihuri hiyo umewafanya wasomi wapendezwe tena na mtu huyo anayetajwa katika Biblia.
-
-
Baruku Mwandishi Mwaminifu wa YeremiaMnara wa Mlinzi—2006 | Agosti 15
-
-
Kitabu kimoja (Corpus of West Semitic Stamp Seals) kinatoa hoja nyingine inayoonyesha cheo cha Baruku: “Kwa kuwa muhuri wa udongo wa Berekhyahu ulipatikana pamoja na mihuri mingi ya maofisa wengine wakuu, ni sawa kukata kauli kwamba Baruku/Berekhyahu alikuwa na cheo sawa na hao maofisa wengine.”
-
-
Baruku Mwandishi Mwaminifu wa YeremiaMnara wa Mlinzi—2006 | Agosti 15
-
-
a Mihuri hiyo ya udongo wa mfinyanzi ilitumiwa kufunga uzi uliofunga hati muhimu. Udongo huo ulitiwa muhuri ambao ulimtambulisha mwenye hati au yule aliyeituma.
-
-
Baruku Mwandishi Mwaminifu wa YeremiaMnara wa Mlinzi—2006 | Agosti 15
-
-
[Picha katika ukurasa wa 16]
Muhuri wa udongo wa Baruku
[Hisani]
Bulla: Courtesy of Israel Museum, Jerusalem
-