Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • ‘Majira ya Kiangazi na Majira ya Baridi Kali Hayatakoma Kamwe’
    Mnara wa Mlinzi—2004 | Julai 15
    • Ni nini hutokeza majira? Kwa ufupi, ni mwinamo wa dunia. Dunia huzunguka jua ikiwa imeinama kwa nyuzi 23.5 kwenye mhimili wake. Ikiwa dunia haingekuwa imeinama kwenye mhimili wake, hakungekuwa na majira. Kungekuwa na majira yaleyale daima. Hiyo ingeathiri mimea na ukuzaji wa mazao.

  • ‘Majira ya Kiangazi na Majira ya Baridi Kali Hayatakoma Kamwe’
    Mnara wa Mlinzi—2004 | Julai 15
    • [Sanduku/Picha katika ukurasa wa 9]

      Mwezi Ni Muhimu kwa Uhai

      Kwa muda mrefu, wanadamu wameshangazwa na kusisimuliwa na mwezi. Lakini je, unajua kwamba mwezi huathiri majira? Mwezi husaidia dunia iweze kuinama kwenye mhimili wake. Jambo hilo “ni muhimu sana katika kutokeza hali Duniani zinazoweza kutegemeza uhai,” asema Andrew Hill, mwandishi mmoja wa sayansi. Kama mwezi haungekuweko ili kuisaidia dunia iiname kwenye mhimili wake, kungekuwa na joto kali sana ambalo yaelekea lingefanya kusiwe na uhai duniani. Hivyo, kikundi cha wanaanga kilimalizia kwa kusema hivi: “Mtu anaweza kuuona Mwezi kuwa ndio unaodhibiti mabadiliko ya halihewa Duniani.”—Zaburi 104:19.

      [Hisani]

      Moon: U.S. Fish & Wildlife Service, Washington, D.C./Bart O’Gara

Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
Toka
Ingia
  • Kiswahili
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki