Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • Mbingu Mpya na Dunia Mpya
    Ufunuo—Upeo Wao Mtukufu U Karibu!
    • “Lakini kwa habari ya waoga na wale bila imani na wale ambao ni wenye kunyarafisha kwa uchafu wao na wauaji kimakusudi na waasherati na wale ambao huzoea uwasiliano na roho na waabudu sanamu na waongo wote, aria yao itakuwa katika ziwa ambalo huwaka moto na salfa. Hii humaanisha kifo cha pili.” (Ufunuo 21:8, NW)

  • Mbingu Mpya na Dunia Mpya
    Ufunuo—Upeo Wao Mtukufu U Karibu!
    • 14 Jumuiya ya Wakristo, ijapokuwa inadai kuwa bibi-arusi wa Kristo, inatambuliwa kwa mazoea yenye kunyarafisha ambayo Yohana anaeleza hapa. Kwa hiyo inaenda kwenye uharibifu wa milele pamoja na sehemu inayobaki ya Babuloni Mkubwa. (Ufunuo 18:8, 21) Hali kadhalika, wowote wa wapakwa-mafuta au wa umati mkubwa ambao huchukua mazoea kama hayo ya kufanya maovu, au kuanza kutia moyo yafanywe, wakabili uharibifu wa milele. Wakiendelea na matendo haya, hawatarithi ahadi hizi. Na katika dunia mpya, wowote wanaojaribu kuleta mazoea kama hayo wataharibiwa kwa kasi sana, wakiingia ndani ya kifo cha pili bila tumaini la ufufuo.—Isaya 65:20.

Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
Toka
Ingia
  • Kiswahili
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki