-
Wajumbe wa Amani Katika Ulaya MasharikiAmkeni!—1997 | Machi 8
-
-
Viziwi “Wasikia” Katika Budapest
-
-
Wajumbe wa Amani Katika Ulaya MasharikiAmkeni!—1997 | Machi 8
-
-
Katika hema iliyokuwa karibu na jukwaa, programu nzima ilitafsiriwa kwa viziwi, na wapatao 100 walihudhuria. Katika maneno ya ukaribishaji kwa wajumbe wote wasiofahamu Kihungaria, viziwi walikaribishwa kipekee, kwa maneno: “Lugha moja ambayo hatutaki kusahau kutaja na ambayo programu nzima itatafsiriwa ni lugha ya ishara. Tunafurahi kuwa na viziwi miongoni mwetu.”
-