-
Ala za Muziki Katika Israeli la KaleAmkeni!—2011 | Machi
-
-
Ingawa tunajua kwa kiasi fulani kuhusu matari ya kale, matasa ni nini? Inaonekana kwamba yalikuwa ala zilizotoa sauti kama ya kengele zilipotikiswa na zilikuwa na kiunzi cha chuma chenye umbo la yai kilichokuwa na kishikio. Matasa yanatajwa mara moja tu kwenye Biblia. Yanatajwa wakati sanduku la agano lilipoletwa Yerusalemu. Hata hivyo, historia ya Wayahudi inaonyesha kwamba matasa yalipigwa pia katika pindi za huzuni.
-
-
Ala za Muziki Katika Israeli la KaleAmkeni!—2011 | Machi
-
-
[Picha katika ukurasa wa 15]
Tasa lilitikiswa kama kayamba
-