Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • Kuhubiri Hadharani na Kutoka Nyumba Hadi Nyumba
    Mashahidi wa Yehova—Wapiga-Mbiu wa Ufalme wa Mungu
    • Bert na Vi Horton, katika Australia, waliendesha gari lenye honi kubwa juu yayo iliyoandikwa maneno “Ujumbe wa Ufalme.” Mwaka mmoja walifanya karibu kila barabara katika Melbourne ijae sauti ya kufunuliwa kwa dini bandia kwa njia yenye kuchochea na maelezo yenye kuchangamsha moyo ya baraka za Ufalme wa Mungu.

  • Kuhubiri Hadharani na Kutoka Nyumba Hadi Nyumba
    Mashahidi wa Yehova—Wapiga-Mbiu wa Ufalme wa Mungu
    • [Picha katika ukurasa wa 567]

      Magari ya kuvumisha habari, nyakati nyingine yakiwa mengi (kama hapa katika Australia), yalitumiwa kutangaza kweli ya Biblia hadharani

Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
Toka
Ingia
  • Kiswahili
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki