-
Nuru ya Kiroho Yang’aa Mashariki ya KatiMnara wa Mlinzi—2001 | Septemba 1
-
-
Shahidi Yousef Rahhal wa Lebanon, aliyekuwa ameishi Marekani kwa miaka mingi alirudi kutembea Lebanon mwaka wa 1936. Alileta vikuza-sauti na santuri mbili. Tukaweka vifaa hivyo juu ya gari aina ya Ford ya mwaka wa 1931, na kusafiri kotekote Lebanon na Syria tukihubiri ujumbe wa Ufalme katika maeneo ya mbali. Kikuza-sauti kilisikika kwa umbali wa kilometa kumi. Watu walipanda hadi kwenye paa za nyumba zao ili wasikie kile walichoamini kuwa sauti kutoka mbinguni. Wale waliokuwa mashambani waliacha kazi zao na kukaribia ili wasikilize.
-
-
Nuru ya Kiroho Yang’aa Mashariki ya KatiMnara wa Mlinzi—2001 | Septemba 1
-
-
[Picha katika ukurasa wa 24]
Najib na gari lenye vikuza-sauti huko Milima ya Lebanon mwaka wa 1940
-