-
Matatizo ya Pekee ya Familia za KamboAmkeni!—2012 | Aprili
-
-
“Nilitarajia kwamba nikiwapenda na kuwajali sana watoto wangu wa kambo, watanikubali, lakini hata baada ya miaka minane, bado ninasubiri.”—Gloria.a
-
-
Matatizo ya Pekee ya Familia za KamboAmkeni!—2012 | Aprili
-
-
“Tulibadilikana haraka kulingana na hali—kila mtu katika familia mpya ya kambo alizoea hali mara moja.”—Yoshito.
“Ni baada ya miaka kumi tu ndipo nilipoamua kuunga mkono mambo katika familia yetu ya kambo na kuisaidia ifanikiwe.”—Tatsuki, mwana wa kambo wa Yoshito.
-