-
“Fuliza Kushikilia kwa Imara Kile Ulicho Nacho”Ufunuo—Upeo Wao Mtukufu U Karibu!
-
-
Yeye anawasifu, akisema: “Mimi najua matendo yako—tazama! mimi nimeweka mbele yako mlango uliofunguliwa, ambao hakuna mmoja awezaye kufunga—kwamba wewe una nguvu chache, na wewe ulishika neno langu na hukuthibitika kuwa bandia kwa jina langu.” (Ufunuo 3:8, NW)
-
-
“Fuliza Kushikilia kwa Imara Kile Ulicho Nacho”Ufunuo—Upeo Wao Mtukufu U Karibu!
-
-
Wao wamevumilia na kuonyesha kwamba wana nguvu za kutosha, kwa msaada wa roho ya Mungu, kuendelea kufanya “matendo” zaidi katika utumishi wa Yehova. (2 Wakorintho 12:10; Zekaria 4:6)
-