-
Ujumbe Mtamu na MchunguUfunuo—Upeo Wao Mtukufu U Karibu!
-
-
2 “Na mimi nikaona malaika mwingine kabambe akishuka kutoka katika mbingu, akiwa amepambwa wingu, na upinde-mvua ulikuwa juu ya kichwa chake, na uso wake ulikuwa kama jua, na nyayo zake zilikuwa kama nguzo zenye moto.”—Ufunuo 10:1, NW.
-
-
Ujumbe Mtamu na MchunguUfunuo—Upeo Wao Mtukufu U Karibu!
-
-
4. Ni nini kinachoonyeshwa na (a) uso wa malaika kuwa “kama jua”? (b) nyayo za malaika kuwa “kama nguzo zenye moto”?
4 Uso wa malaika kabambe ulikuwa “kama jua.” Mapema zaidi, katika njozi yake ya Yesu kwenye hekalu la kimungu, Yohana alikuwa amesema kwamba wajihi wa Yesu ulikuwa kama “jua wakati linapong’aa katika nguvu zalo.” (Ufunuo 1:16, NW) Yesu akiwa ndiye “jua la uadilifu,” hung’aa akiwa na ponyo katika mabawa yake kwa manufaa ya wale ambao huhofu jina la Yehova. (Malaki 4:2)
-