-
KusababuFaidika na Elimu ya Shule ya Huduma ya Kitheokrasi
-
-
Yesu aliweka mfano mzuri wa kusababu alipozungumza na watu. Alifikiria malezi yao na alitumia mifano ambayo wangekubali kwa urahisi.
-
-
KusababuFaidika na Elimu ya Shule ya Huduma ya Kitheokrasi
-
-
Yesu hakufafanua jambo hilo, kwa sababu huenda mtu huyo angempinga kwa sababu ya jinsi Wayahudi walivyowaona watu wa Mataifa na Wasamaria, badala yake alisababu naye kupitia mfano. Ni mfano wa Msamaria mwenye ujirani ambaye alimsaidia msafiri aliyeporwa na kupigwa, ilhali kuhani na Mlawi hawakumsaidia. Yesu alihakikisha mtu huyo ameelewa kwa kumwuliza swali rahisi. Yesu alisababu kwa njia ambayo ilimsaidia mtu huyo aelewe neno “jirani” kwa njia tofauti. (Luka 10:25-37) Huo ni mfano mzuri sana tunaoweza kuiga. Badala ya kuzungumza sana na kumfanya mwenye nyumba asifikiri, jifunze kutumia maswali na mifano kwa njia ya busara ili kumfanya yule anayekusikiliza afikiri.
-