Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • ‘Weka Moyoni Mwako’ Hekalu la Mungu!
    Mnara wa Mlinzi—1999 | Machi 1
    • Kando-kando ya kingo za mto pana miti mingi inayozaa matunda mwaka mzima, yakitoa lishe na ponyo.—Ezekieli 47:1-12.

  • ‘Weka Moyoni Mwako’ Hekalu la Mungu!
    Mnara wa Mlinzi—1999 | Machi 1
    • Watu hao waliorudishwa wangebarikiwa kwa kupewa wanaume wa kiroho wenye kutokeza—wanaume waadilifu na walio thabiti kama miti iliyo kando-kando ya kingo za kimaono za mto huo, wanaume ambao wangeongoza katika kujenga upya nchi iliyoharibiwa. Isaya pia alikuwa ameandika kuhusu “miti mikubwa ya haki” ambao ‘wangejenga upya mahali palipokuwa pameharibiwa kwa muda mrefu.’—Isaya 61:3, 4, NW.

  • ‘Weka Moyoni Mwako’ Hekalu la Mungu!
    Mnara wa Mlinzi—1999 | Machi 1
    • Baada ya muda, chini ya uongozi wa hawa “miti mikubwa ya haki”—kama vile mwandishi Ezra, manabii Hagai na Zekaria, na Kuhani Mkuu Yoshua—mahali palipokuwa pameharibiwa kwa muda mrefu palijengwa upya.

Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
Toka
Ingia
  • Kiswahili
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki