Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • Yehova Anafunua Mambo Ambayo “Lazima Yatendeke Upesi”
    Mnara wa Mlinzi—2012 | Juni 15
    • Mnyama huyo ambaye Danieli aliona anafananisha Serikali Kuu ya Ulimwengu ya Roma. (Tazama chati kwenye ukurasa wa 12-13.) Katika karne ya tano W.K., Milki ya Roma ilianza kusambaratika. Pembe kumi zinazoota kwenye kichwa cha mnyama huyo mwenye kuogopesha zinafananisha falme zilizotokana na milki hiyo.

  • Yehova Anafunua Mambo Ambayo “Lazima Yatendeke Upesi”
    Mnara wa Mlinzi—2012 | Juni 15
    • a Katika Biblia, mara nyingi nambari kumi inawakilisha kikundi kamili, katika kisa hiki inawakilisha falme zote zilizotokana na Milki ya Roma.

Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
Toka
Ingia
  • Kiswahili
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki