Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • Samoa
    2009 Kitabu cha Mwaka cha Mashahidi wa Yehova
    • Wanaume hao watatu walipanga kufanya kwa ukawaida mikutano ya Biblia na hotuba za watu wote na muda si muda hudhurio likafikia 25. Pamoja na familia zao walianza kuwahuburia wengine kwa njia zisizo rasmi.

  • Samoa
    2009 Kitabu cha Mwaka cha Mashahidi wa Yehova
    • Licha ya minyanyaso hiyo, wahubiri hao waliendelea kukutanika pamoja ili kuabudu. “Wakijifanya kana kwamba walikuwa wakienda matembezi mwishoni mwa juma,” Ropati aeleza, “Jumamosi asubuhi familia hizo zilikuwa zikisafiri kwa mtumbwi kwenda katika kisiwa kidogo kisicho na watu wengi na kurudi Jumapili jioni baada ya kufanya mikutano yao.”

Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
Toka
Ingia
  • Kiswahili
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki