-
Marafiki wa Mungu Katika Visiwa vya TongaMnara wa Mlinzi—2004 | Desemba 15
-
-
Mwaka wa 1932 mashua moja ilileta mbegu fulani zenye thamani sana huko Tonga. Nahodha wa mashua hiyo alimpa Charles Vete kijitabu “Where Are the Dead?” (Wafu Wako Wapi?) Charles alisadiki kwamba alikuwa amepata ukweli. Baadaye, makao makuu ya Mashahidi wa Yehova yalikubali ombi la Charles la kutafsiri kijitabu hicho katika lugha yake ya asili. Baada ya kumaliza kazi hiyo, alipokea nakala 1,000 za kijitabu hicho naye akaanza kuzigawa kwa watu. Hivyo ndivyo mbegu za kweli kuhusu Ufalme wa Yehova zilivyoanza kuenezwa katika ufalme wa Tonga.
-
-
Marafiki wa Mungu Katika Visiwa vya TongaMnara wa Mlinzi—2004 | Desemba 15
-
-
Kuanzia miaka ya 1930, Charles Vete alijulikana kuwa mmoja wa Mashahidi wa Yehova ingawa hakuwa amebatizwa hadi kufikia mwaka wa 1964.
-
-
Marafiki wa Mungu Katika Visiwa vya TongaMnara wa Mlinzi—2004 | Desemba 15
-
-
[Picha katika ukurasa wa 8]
Charles Vete, 1983
-