Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • Afrika Kusini
    2007 Kitabu cha Mwaka cha Mashahidi wa Yehova
    • Teknolojia ya kisasa imetumiwa vizuri kuwasaidia watafsiri. Akina ndugu nchini Afrika Kusini walipokuwa wakitayarisha programu za kompyuta za kuwasaidia watafsiri, idara yenye lengo hilohilo ilianzishwa Brooklyn. Hatimaye programu mbalimbali zilizobuniwa ziliunganishwa na kufanyiza programu moja inayoitwa Watchtower Translation System. Watayarishaji wa programu hizo nchini Afrika Kusini walichangia sana kuundwa kwa programu hiyo.

      Akina ndugu hawakujaribu kuunda programu za kompyuta ili zitafsiri, jambo ambalo kampuni kadhaa zimejaribu bila mafanikio. Badala yake, walijaribu sana kuwapa watafsiri vifaa. Kwa mfano, Biblia zinapatikana kwenye kompyuta. Watafsiri pia wanaweza kujitengenezea kamusi zao kwenye kompyuta. Kamusi hizo ni zenye thamani kwa sababu lugha kadhaa hazina kamusi za kutosha.

  • Afrika Kusini
    2007 Kitabu cha Mwaka cha Mashahidi wa Yehova
    • [Picha katika ukurasa wa 155]

      Watafsiri wameandaliwa programu za kompyuta zinazowasaidia

Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
Toka
Ingia
  • Kiswahili
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki