Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • Usiruhusu Ugonjwa Ukufanye Upoteze Shangwe Yako
    Mnara wa Mlinzi—2011 | Desemba 15
    • Miaka kadhaa iliyopita, Barbara aligunduliwa kuwa ana uvimbe uliozidi kukua kwenye ubongo. Anaeleza hivi: “Mwili mwangu umebadilika ghafula. Ninahisi nimelegea, kichwa kinaniuma mara kwa mara, na ninashindwa kukaza uangalifu. Kwa sababu ya hali hiyo mpya, nililazimika kupanga upya kila jambo.”

  • Usiruhusu Ugonjwa Ukufanye Upoteze Shangwe Yako
    Mnara wa Mlinzi—2011 | Desemba 15
    • Barbara anasema hivi kuhusu binti yake na dada wengine vijana katika kutaniko: “Wananisaidia ili nishiriki katika huduma. Bidii yao inanichangamsha.”

  • Usiruhusu Ugonjwa Ukufanye Upoteze Shangwe Yako
    Mnara wa Mlinzi—2011 | Desemba 15
    • “Ninafurahia kufanya ziara za kurudia na kusaidia katika mafunzo ya Biblia. Ninapohisi nafuu, mimi hupenda kuhubiri nyumba kwa nyumba.”—Barbara, ambaye ana uvimbe kwenye ubongo.

Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
Toka
Ingia
  • Kiswahili
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki