Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • Ufalme wa Mungu Wazaliwa!
    Ufunuo—Upeo Wao Mtukufu U Karibu!
    • Angalia kwamba yeye amevikwa taji la nyota 12. Nambari 12 inashirikishwa na ukamili katika mazingira ya kitengenezo.a Kwa sababu hiyo, hizi nyota 12 zinaonekana kuonyesha kwamba yeye ni mpango wa kitengenezo katika mbingu, kama vile Yerusalemu la kale lilivyokuwa duniani. Yerusalemu juu ni tengenezo la Yehova la ulimwengu wote mzima la viumbe wa roho ambalo hutenda kama mke wake, katika kumtumikia na katika kutokeza uzao.

  • Ufalme wa Mungu Wazaliwa!
    Ufunuo—Upeo Wao Mtukufu U Karibu!
    • a Linga makabila 12 ya Israeli wa mnofu, mitume 12, makabila 12 ya Israeli wa kiroho, na malango 12, malaika 12, na mawe 12 ya msingi ya Yerusalemu Jipya.—Ufunuo 21:12-14, NW.

Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
Toka
Ingia
  • Kiswahili
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki