-
Wakati wa Kutahini (1914-1918)Mashahidi wa Yehova—Wapiga-Mbiu wa Ufalme wa Mungu
-
-
Ndugu Russell hakuweza kutokeza buku hili wakati wa maisha yake, ingawa yeye alikuwa ametumaini kufanya hivyo. Kufuatia kifo chake, Halmashauri ya Utekelezi ya Sosaiti ilipanga washiriki wawili, Clayton J. Woodworth na George H. Fisher, watayarishe kitabu hiki, ambacho kilikuwa ni maelezo juu ya Ufunuo, Wimbo Ulio Bora, na Ezekieli.
-
-
Wakati wa Kutahini (1914-1918)Mashahidi wa Yehova—Wapiga-Mbiu wa Ufalme wa Mungu
-
-
d Kwenye mkutano wa kila mwaka uliofanywa katika Januari 5, 1918, wale saba waliopokea idadi ya juu zaidi ya kura walikuwa J. F. Rutherford, C. H. Anderson, W. E. Van Amburgh, A. H. Macmillan, W. E. Spill, J. A. Bohnet, na G. H. Fisher.
-