Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • Kile Ambacho Nadharia ya Mshindo Mkubwa Hueleza—Na Kile Ambacho Haielezi
    Amkeni!—1996 | Januari 22
    • Fasiri iliyo maarufu sana ya mtazamo wa kizazi hiki kuhusu uumbaji hutaarifu kwamba miaka ipatayo bilioni 15 hadi 20 iliyopita, ulimwengu wote mzima haukuwapo, wala utupu wa anga.

  • Kile Ambacho Nadharia ya Mshindo Mkubwa Hueleza—Na Kile Ambacho Haielezi
    Amkeni!—1996 | Januari 22
    • Mwastronomia Wendy Freedman na wengine hivi majuzi walitumia Darubiniupeo ya Angani ya Hubble kupima umbali wa galaksi katika jamii ya nyota ya Mashuke, na kipimo chake chadokeza kwamba ulimwengu wote mzima unapanuka kwa kasi zaidi, na hivyo ni mchanga zaidi, kuliko ilivyodhaniwa hapo awali. Kwa hakika, hiyo “yaonyesha umri wa ulimwengu wote mzima kuwa mchanga kufikia miaka bilioni nane,” likaripoti gazeti Scientific American Juni uliopita tu. Ingawa miaka bilioni nane yasikika kuwa wakati mrefu sana, ni karibu nusu tu ya umri wa sasa uliokadiriwa wa ulimwengu wote mzima. Hili husababisha tatizo maalumu, kwani, kama hiyo ripoti inavyoendelea kusema, “habari nyinginezo huonyesha kwamba nyota fulani zina umri wa angalau miaka bilioni 14.” Makadirio ya Freedman yakithibitika kuwa kweli, nyota hizo za kale mno zitakuwa na umri mkubwa zaidi kupita mshindo mkubwa wenyewe!

Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
Toka
Ingia
  • Kiswahili
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki