Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • Ulimwengu Uliojaa Maajabu
    Amkeni!—2009 | Agosti
    • Nishati Isiyoonekana na Mata Nyeusi

      Mnamo 1998, watafiti wanaochunguza nuru kutoka katika nyota inayolipuka waligundua kwamba ulimwengu unapanuka kwa kasi zaidi.b Mwanzoni, wanasayansi walikuwa na shaka, lakini uthibitisho zaidi ulipatikana. Walitaka kujua ni nishati ya aina gani iliyokuwa ikifanya ulimwengu upanuke kwa kasi zaidi. Kwanza, ilipingana na nguvu za uvutano; na pili, haikupatana na nadharia zozote za kisasa. Kwa kufaa, nishati hiyo imesemwa kuwa ni nishati isiyoonekana na inafanyiza karibu asilimia 75 ya ulimwengu wetu!

  • Ulimwengu Uliojaa Maajabu
    Amkeni!—2009 | Agosti
    • [Mchoro katika ukurasa wa 18]

      (Ona mpangilio kamili katika nakala iliyochapishwa)

      Asilimia 74 nishati isiyoonekana

Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
Toka
Ingia
  • Kiswahili
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki