-
Ulimwengu Wetu Ulitokeaje?—Ubishi UliopoJe, Kuna Muumba Anayekujali?
-
-
c Nadharia ya kupanuka kwa ulimwengu inakisia juu ya kile kilichotukia katika nukta ya sekunde baada ya mwanzo wa ulimwengu. Watetezi wa upanuzi wa ulimwengu wasisitiza kwamba awali ulimwengu ulikuwa mdogo sana hata usiweze kuonekana kwa macho na kisha ukapanuka haraka kwa kiasi cha kushinda mwendo wa nuru, dai ambalo haliwezi kuthibitishwa katika maabara. Nadharia hiyo ya upanuzi bado inabishaniwa.
-
-
Ulimwengu Wetu Ulitokeaje?—Ubishi UliopoJe, Kuna Muumba Anayekujali?
-
-
Makisio kama hayo mara nyingi huhusisha tofauti ndogo-ndogo za nadharia (ya kupanuka kwa ulimwengu)c iliyotungwa mnamo 1979 na mtaalamu wa fizikia Alan Guth.
-