Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • Uadilifu Wachipuka Katika Sayuni
    Unabii wa Isaya II—Nuru kwa Wanadamu Wote
    • 7, 8. (a) Kuna miaka gani miwili ‘ya nia njema’? (b) ‘Siku za kisasi’ cha Yehova ni zipi?

      7 Kuna wakati hususa uliowekwa ili habari njema zihubiriwe. Yesu na wafuasi wake walipewa utume wa “kutangaza mwaka wa BWANA uliokubaliwa [“mwaka wa nia njema,” “NW”], na siku ya kisasi cha Mungu wetu; kuwafariji wote waliao.” (Isaya 61:2)

  • Uadilifu Wachipuka Katika Sayuni
    Unabii wa Isaya II—Nuru kwa Wanadamu Wote
    • Mwaka huo wa nia njema uliendelea hadi “siku ya kisasi” cha Yehova, ambayo ilifikia upeo mwaka wa 70 W.K. Yehova aliporuhusu majeshi ya Roma yaharibu Yerusalemu na hekalu lake. (Mathayo 24:3-22) Sisi leo tunaishi katika mwaka mwingine wa nia njema, ulioanza wakati Ufalme wa Mungu uliposimamishwa katika mbingu mwaka wa 1914. Mwaka huu wa nia njema utamalizika na siku nyingine ya kisasi yenye kuenea sana, wakati Yehova atakapoleta uharibifu wa mfumo mzima wa mambo ya ulimwengu huu kwenye “dhiki kubwa.”—Mathayo 24:21.

  • Uadilifu Wachipuka Katika Sayuni
    Unabii wa Isaya II—Nuru kwa Wanadamu Wote
    • Hata hivyo, wale wanaoukataa ujumbe, na kukataa kuutumia vizuri mwaka wa nia njema ya Yehova maadamu ungali upo, watakabiliana na siku yake ya kisasi hivi karibuni.—2 Wathesalonike 1:6-9.

Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
Toka
Ingia
  • Kiswahili
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki