Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • Kuwasaidia Watu Wanaotumia Lugha ya Pekee Nchini Korea
    Mnara wa Mlinzi—2003 | Juni 15
    • Video za lugha ya ishara hutengenezwa pia katika idara ya video. Chakula cha kiroho hutayarishwa kwa njia hiyo kwa ajili ya wahubiri viziwi wa habari njema na watu wanaopendezwa kotekote nchini Korea.

      Ijapokuwa wengi wamejua lugha ya ishara kabisa na wamesaidia kutengeneza video, watoto wa viziwi ndio watafsiri stadi zaidi. Wao wamejifunza lugha ya ishara tangu utotoni. Mbali na kutumia ishara sahihi, ishara zao za mkono na uso hukazia maana na huonyesha hisia za moyoni, na hivyo ujumbe hueleweka na kufikia moyo.

  • Kuwasaidia Watu Wanaotumia Lugha ya Pekee Nchini Korea
    Mnara wa Mlinzi—2003 | Juni 15
    • [Picha katika ukurasa wa 10]

      Video za lugha ya ishara zilizotengenezwa nchini Korea: “Mungu Anataka Tufanye Nini?,” “Kuthamini Urithi Wetu wa Kiroho,” “Vielelezo vya Kuonya Leo,” na “Heshimu Mamlaka ya Yehova”

      [Picha katika ukurasa wa 10]

      Kuanzia chini kuelekea kulia: Video ya lugha ya ishara ikitengenezwa kwenye ofisi ya tawi nchini Korea; ishara za maneno ya kitheokrasi zinatayarishwa; watafsiri wa lugha ya ishara; ndugu anayetafsiri kwa kutumia ishara anaelekezwa, video inapotengenezwa

Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
Toka
Ingia
  • Kiswahili
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki