Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • Kuna Uhitaji Mkubwa wa Faraja!
    Mnara wa Mlinzi—2000 | Aprili 15
    • Katika karne iliyopita peke yake, vita vimesababisha vifo vya zaidi ya watu milioni mia moja.a

  • Kuna Uhitaji Mkubwa wa Faraja!
    Mnara wa Mlinzi—2000 | Aprili 15
    • a Idadi kamili ya wanajeshi na raia ambao wamekufa haijulikani vizuri. Kwa mfano, kitabu Facts About the American Wars cha 1998 chasema hivi kuhusu Vita ya Ulimwengu ya Pili pekee: “Habari nyingi zinataja kwamba jumla ya watu waliokufa kwa sababu ya Vita ya Ulimwengu ya Pili (wanajeshi na raia) ni milioni 50 lakini wengi ambao wamechunguza suala hilo vizuri wanaamini kwamba waliokufa ni wengi zaidi—maradufu ya idadi inayotajwa.”

Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
Toka
Ingia
  • Kiswahili
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki