-
Yehova Hutujulisha Jinsi ya Kuzihesabu Siku ZetuMnara wa Mlinzi—2001 | Novemba 15
-
-
Maana miaka elfu machoni pako ni kama siku ya jana ikiisha kupita, na kama kesha la usiku.”—Zaburi 90:3, 4.
-
-
Yehova Hutujulisha Jinsi ya Kuzihesabu Siku ZetuMnara wa Mlinzi—2001 | Novemba 15
-
-
Mtunga-zaburi pia anataja kwamba kwa Mungu miaka elfu ni kama muda wa saa nne ambazo mlinzi anakuwa kambini wakati wa usiku. (Waamuzi 7:19)
-