Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • Mwanavita-Mfalme Asherehekea Ushindi Kwenye Har–Magedoni
    Ufunuo—Upeo Wao Mtukufu U Karibu!
    • “Na mimi nikaona mbingu zimefunguka, na, tazama! farasi mweupe. Na mmoja aketiye juu yake anaitwa Mwaminifu na Wa-kweli, na yeye anahukumu na kuendeleza vita katika uadilifu. Macho yake ni mwali wa moto, na juu ya kichwa chake pana mataji mengi.”—Ufunuo 19:11, 12a, NW.

      5, 6. Ni nini kinachoashiriwa na (a) “farasi mweupe”? (b) jina “Mwaminifu na Wa-kweli”? (c) macho kama “mwali wa moto”? (d) “mataji mengi”?

      5 Kama katika njozi ya mapema zaidi ya wapanda-farasi wanne, huyu “farasi mweupe” ni ufananisho unaofaa wa vita yenye uadilifu. (Ufunuo 6:2, NW)

  • Mwanavita-Mfalme Asherehekea Ushindi Kwenye Har–Magedoni
    Ufunuo—Upeo Wao Mtukufu U Karibu!
    • “Pia, majeshi ambayo yalikuwa katika mbingu yalikuwa yakifuata yeye juu ya farasi weupe, na wao walikuwa wamevaa kitani nyeupe, nzuri, safi.” (Ufunuo 19:14, NW) Uhakika wa kwamba farasi ni “weupe” huonyesha vita ni ya uadilifu.

Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
Toka
Ingia
  • Kiswahili
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki