-
Mwanamke Mwenye Busara Aepusha MsibaMnara wa Mlinzi—1997 | Julai 1
-
-
a Nyika ya Parani yaeleweka kuwa yasambaa kuelekea kaskazini hadi Beer-sheba. Sehemu hii ya bara ilitia ndani eneo kubwa la malisho.
-
-
Mwanamke Mwenye Busara Aepusha MsibaMnara wa Mlinzi—1997 | Julai 1
-
-
Tokeo ni kwamba, Daudi alilazimika kuishi akiwa mtoro. Yeye pamoja na wenzake wapatao 600 hatimaye walipata kimbilio katika nyika ya Parani, kusini ya Yuda na kuelekea nyika ya Sinai.—1 Samweli 23:13; 25:1.
Wakiwa huko, walikutana na wachungaji walioajiriwa na mtu fulani aliyeitwa Nabali. Mzao huyu wa Kalebu aliye tajiri alikuwa na kondoo 3,000 na mbuzi 1,000, naye alikuwa akikata manyoya ya kondoo zake katika Karmeli, jiji lililo kusini ya Hebroni na labda karibu kilometa 40 tu kutoka Parani.a
-