-
Jinsi Biblia Ilivyotufikia—Sehemu ya PiliMnara wa Mlinzi—1997 | Septemba 15
-
-
Kabla hajafa mwaka wa 1384, alianzisha kutafsiriwa kwa Biblia katika Kiingereza cha siku yake kutoka Kilatini.
-
-
Jinsi Biblia Ilivyotufikia—Sehemu ya PiliMnara wa Mlinzi—1997 | Septemba 15
-
-
Akifikia upeo wa shutumu lake la hadharani, Arundel aliandika hivi: “Ili kujaza kabisa kipimo cha uovu wake, alibuni tafsiri mpya ya maandiko katika lugha ya kienyeji ya kufaa lengo fulani.” Kwa kweli, lililowakasirisha zaidi viongozi wa kanisa lilikuwa kwamba Wycliffe alitaka kuwapa watu Biblia katika lugha yao wenyewe.
Hata hivyo, watu mmoja-mmoja walio mashuhuri walipata Maandiko katika lugha za kienyeji. Mmoja alikuwa Anne wa Bohemia, aliyeolewa na Mfalme Richard wa Pili wa Uingereza mwaka wa 1382. Alikuwa na tafsiri za Kiingereza za Wycliffe za Gospeli, ambazo alijifunza daima.
-