Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • “Njia za Yehova Zimenyooka”
    Mnara wa Mlinzi—2005 | Novemba 15
    • nikawa kwao kama wale wanaoondoa nira kwenye mfupa wa mataya yao, nami kwa upole nikamletea kila mmoja wao chakula.”

  • “Njia za Yehova Zimenyooka”
    Mnara wa Mlinzi—2005 | Novemba 15
    • 11. Ni kwa njia gani Mungu ‘alikuwa kama mtu anayeondoa nira’?

      11 Yehova aliposhughulika na Waisraeli, ‘alikuwa kwao kama wale wanaoondoa nira kwenye mfupa wa mataya yao, naye kwa upole akamletea kila mmoja wao chakula.’ Mungu alikuwa kama mtu anayeondoa nira au kuirudisha nyuma mbali vya kutosha ili kumwezesha mnyama ale kwa starehe. Waisraeli walipovunja nira ya ujitiisho kwa Yehova ndipo walipotiwa chini ya nira yenye kukandamiza ya adui zao. (Kumbukumbu la Torati 28:45, 48; Yeremia 28:14) Na tusianguke kamwe mikononi mwa adui wetu mkuu, Shetani, ili nira yake yenye kukandamiza isije ikatuumiza. Badala yake, acheni tuendelee kutembea kwa ushikamanifu pamoja na Mungu wetu mwenye upendo.

Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
Toka
Ingia
  • Kiswahili
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki