Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • Latvia
    2007 Kitabu cha Mwaka cha Mashahidi wa Yehova
    • Kusanyiko la kwanza kufanyiwa nchini Latvia ni lile la “Njia ya Mungu ya Maisha,” lililofanywa mwaka wa 1998 katika jumba kubwa la michezo jijini Riga. Jumba hilo liligawanywa katika sehemu tatu kulingana na lugha: Kilatvia, Kirusi, na Lugha ya Ishara ya Latvia. Baada ya sala ya mwisho, wote walipiga makofi, na wengi wakatokwa na machozi ya furaha, wakimshukuru Yehova kwa tukio hilo la pekee.

  • Latvia
    2007 Kitabu cha Mwaka cha Mashahidi wa Yehova
    • [Picha katika ukurasa wa 202]

      Kusanyiko la “Njia ya Mungu ya Maisha” la 1998, la kwanza kufanyiwa Latvia, lilikuwa na sehemu ya lugha ya ishara

Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
Toka
Ingia
  • Kiswahili
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki