Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • Kidingapopo—Tisho Linaloongezeka
    Amkeni!—2011 | Novemba
    • Madaktari bado hawana tiba ya kidingapopo, lakini mara nyingi ugonjwa huo unaweza kutibiwa nyumbani kwa kupumzika na kunywa vinywaji vingi.

  • Kidingapopo—Tisho Linaloongezeka
    Amkeni!—2011 | Novemba
    • Inasikitisha kwamba dawa za kutibu magonjwa yanayosababishwa na viini, au bakteria (antibiotics) haziwezi kutibu ugonjwa wa kidingapopo kwa sababu unasababishwa na virusi wala si bakteria. Ni jambo la hekima pia mgonjwa aepuke dawa za kupunguza maumivu kama vile aspirini na ibuprofen kwa sababu zinaweza kuongeza hatari ya kuanza kuvuja damu. Kuna aina nne za virusi vinavyoambukiza ugonjwa wa kidingapopo, na inawezekana kuambukizwa ugonjwa huo zaidi ya mara moja.

      Ukipatwa na kidingapopo, pumzika vizuri na unywe vinywaji vingi. Pia, lala ndani ya neti ya mbu kadiri inavyowezekana ili uzuie mbu wasikuume na kuwaambukiza wengine ugonjwa huo.

Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
Toka
Ingia
  • Kiswahili
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki